| Prio | Original string | Translation | — |
|---|---|---|---|
| Add long headline | Ongeza kichwa kirefu cha habari | Details | |
| We recommend using 5 long headlines. A single long headline is required. | Tunapendekeza utumie vichwa 5 virefu vya habari. Kichwa kimoja kirefu cha habari kinahitajika. | Details | |
|
We recommend using 5 long headlines. A single long headline is required. Tunapendekeza utumie vichwa 5 virefu vya habari. Kichwa kimoja kirefu cha habari kinahitajika.
You have to log in to edit this translation.
|
|||
| Long headlines Plural asset field name as the heading | Vichwa vya habari virefu | Details | |
| Generate headline | Tengeneza kichwa cha habari | Details | |
| Generate headlines | Tengeneza vichwa vya habari | Details | |
| The headline is the first line of your ad and is most likely the first thing people notice, so consider including words that people may have entered in their Google search. | Kichwa cha habari ni mstari wa kwanza wa tangazo lako na kuna uwezekano mkubwa kuwa kitu cha kwanza ambacho watu wanaona, kwa hivyo zingatia kujumuisha maneno ambayo watu wanaweza kuwa wameingiza katika utafutaji wao wa Google. | Details | |
|
The headline is the first line of your ad and is most likely the first thing people notice, so consider including words that people may have entered in their Google search. Kichwa cha habari ni mstari wa kwanza wa tangazo lako na kuna uwezekano mkubwa kuwa kitu cha kwanza ambacho watu wanaona, kwa hivyo zingatia kujumuisha maneno ambayo watu wanaweza kuwa wameingiza katika utafutaji wao wa Google.
You have to log in to edit this translation.
|
|||
| headlines Plural and lowercase asset field name | vichwa vya habari | Details | |
| headline Singular and lowercase asset field name | kichwa cha habari | Details | |
| Headline Capitalized asset field name as the placeholder or the start of an error message | Kichwa cha habari | Details | |
| Add headline | Ongeza kichwa cha habari | Details | |
| Learn how to write effective ads | Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye ufanisi | Details | |
|
Learn how to write effective ads Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye ufanisi
You have to log in to edit this translation.
|
|||
| For the best results, add at least 5 headlines. A minimum of 3 are required. | Kwa matokeo bora, ongeza angalau vichwa 5 vya habari. Angalau 3 vinahitajika. | Details | |
|
For the best results, add at least 5 headlines. A minimum of 3 are required. Kwa matokeo bora, ongeza angalau vichwa 5 vya habari. Angalau 3 vinahitajika.
You have to log in to edit this translation.
|
|||
| Headlines Plural asset field name as the heading | Vichwa vya habari | Details | |
| The business name is the name of your business or brand. In certain layouts, it may appear in the text of your ad. | Jina la biashara ni jina la biashara yako au chapa yako. Katika mipangilio fulani, linaweza kuonekana katika maandishi ya tangazo lako. | Details | |
|
The business name is the name of your business or brand. In certain layouts, it may appear in the text of your ad. Jina la biashara ni jina la biashara yako au chapa yako. Katika mipangilio fulani, linaweza kuonekana katika maandishi ya tangazo lako.
You have to log in to edit this translation.
|
|||
| business name Singular and lowercase asset field name | jina la biashara | Details | |
Export as